INFINIX XCLUB-INFINIX MOBILITY COMMUNITY OFFICIAL FORUM

 找回密码
 Register
搜索
热搜: XStore
查看: 252|回复: 3

SAMATTA NDANI YA KAMPUNI MPYA YA UWAKALA

[复制链接]

141

Threads

838

Posts

1001

Xpoints

Jade Star LV4

XClub Best Looksign star1post star1post star2

发表于 2019-12-04 03:45:17 来自手机 | 显示全部楼层 |阅读模式
[br][br][br]Mbwana Samatta hatimae ameondoka katika kampuni ya uwakala ( First For Players) aliyojiunga mwaka 2018 na kujiunga na Spocs Consultant inayomsimamia Mohamed Salah mchezaji wa timu ya Liverpool inayoshiriki ligi kuu England.[br][br]Hatua hiyo inamfanya Samatta kuwa mchezaji wa pili mwenye thamani ya juu kwa wanaosimamiwa na kampuni hiyo baada ya Mohamed Salah.[br][br]Samatta anashika nafasi ya pili katika list ya wachezaji zaidi ya 100 wenye  thamani kubwa wanaosimamiwa na kampuni hiyo ya Spocs Consultant.[br][br]Samatta anashika nafasi hiyo ya pili kwa kuwa na thamani ya pound milioni 12 kwa mujibu wa mtandao wa transfer Market, anaamini kufanya huko na uzoefu wa kampuni hiyo mpya kunaweza kusaidia ndoto yake ya kucheza EPL.[br]

本帖子中包含更多资源

您需要 登录 才可以下载或查看,没有帐号?Register

x
Wise Man.
回复

使用道具 举报

15

Threads

36

Posts

51

Xpoints

Jade Star LV2

发表于 2019-12-04 03:49:15 来自手机 | 显示全部楼层
hatariiiiiii
回复

使用道具 举报

141

Threads

838

Posts

1001

Xpoints

Jade Star LV4

XClub Best Looksign star1post star1post star2

 楼主| 发表于 2019-12-04 03:50:15 来自手机 | 显示全部楼层
Kuna mahali ataenda
回复

使用道具 举报

236

Threads

1571

Posts

1813

Xpoints

Jade Star LV5

XClub Best Lookpost star1post star2sign star1

发表于 2019-12-04 13:22:58 来自手机 | 显示全部楼层
mungu azid kumfanyia wepec
回复

使用道具 举报

您需要登录后才可以回帖 登录 | Register

本版积分规则

Infinix Official Website|Infinix official mall|infinix Note 4|INFINIX XCLUB-INFINIX MOBILITY COMMUNITY OFFICIAL FORUM

GMT+8, 2019-12-16 02:16 , Processed in 0.208554 second(s), 21 queries .

Powered by Discuz! X3.4

© 2001-2017 Comsenz Inc.

快速回复 返回顶部 返回列表